Posts

Sms za mapenzi

Image
 1. Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimi  ni wako sikuachi asilani.  2. Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.   3. Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!   4. Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka ...

Maneno mazuri ya Usiku mwema

Image
  Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Jns navyozd kuongea nawe nataman kuwa krb yako,ni chezee zako lips na mwili wako kuukumbatia.nataman kuwa nawe kwan nna meng ya kukuambia.nilee penzin na moyon unitunze.ucku mwema mpz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Usiku mwema mpenzi wangu, upepo wa khuba ukuliwaze katika wako mnono usingz! nakupenda kutoka kwenye chembe ya kulia ya moyo wangu mkunjufu, ulale unono dia! Nakupend laaziz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali! Nakupenda dear. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• sasa ni usiku najua utakuwa umechoka kwa kazi kutwa nzima ya leo,pumzika mpenzi wangu,ukipanga mambo ya kesho ,lkn elexa ki2 kimoja ,hak...

Maneno 100 Ya Kumwambia Mwanamke Ili Moyo Wake Usisimke

Image
  Hivi yule mwanamke unayemtongoza ushamwambia maneno mangapi matamu na akakuambia kwa upole, “Nakupenda mpenzi wangu”. Iwapo hujawahi kutamkiwa maneno kama haya na mwanamke kwa njia ya upole basi itakuwa yale maneno unayomwambia hayatosheki. Mwanamke anapenda kuona kuwa unamfukuzia. Anataka kujua iwapo unamwona ni mrembo na kuvutia au la. Wanawake ni viumbe tofauti na huchagua maneno. Unaweza kuwa kila siku unamrushia mistari ama voko ambazo umekuwa ukizihifadhi kumbe kwake haoni chochote. Kabla hatujaendelea, sababu ya kuandika post hii ni kuwa kuna rafiki yangu katika mtandao wa Facebook amekuwa akiniandama akitaka nimpe mistari angalau mmoja ili aweze kumzuzua mpenzi wake. Well, kwa hili tulikaa na paneli yetu  na tukaamua kuweka maneno 100 ambayo bila shaka yatamridhisha mwanamke yeyote. Zama nasi.  Maneno matamu ya kumwambia mwanamke #1 Nakumbuka ile siku ya kwanza ambayo macho yangu yalipokuona #2 Nilijua kua wewe ni wangu kuanzia ile siku #3 Unavutia #4 Yaani niko...

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Image
  Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema °·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.° Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daima atakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema. °·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.° Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema •·.·°¯ ·.·•*•·.·°¯ ·.·• Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema! •·.·°¯ ·.·•*•·.·°¯ ·.·• ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa wakupumzisha mwili na akili yak...

SMS TAMU ZA MAPENZI

Image
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . upendo ni lugha , kwamba kila mmoja anaongea, upendo hauwez kununuliwa, na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamu nakupenda mpenzi *°·.¸¸.° °·.¸¸.°* Gusa hapa>> TAFUTA HAPA SMS ZA MAPENZI ZA MWEZI HUU (MPYA) “Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe” nakupenda laazizi “Kama mimi nilikuwa na maua kila wakati mawazo yangu yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla yako je wewe ungekuwepo nayo ungempa nani kwanza? ” *°·.¸¸.° °·.¸¸.°* ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu.neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear Figganigga •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua nafsi nik...

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO

Image
  hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najiona kama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzi lako. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kaja kunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwa sasa siwezi kukupatia kwa maana mgeni kashakuharibia nakupenda dear •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Ni yangu mazoea kila cku cm yako kuipokea kama si meseji kunitumia leo naumia kila napo fikiria nini kimetokea hadi mawasiliano yetu yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali ya kawida itarejea na majonzi moyoni yatanipotea nakupenda mpz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Gusa hapa jiunge>> SMS TAMU ZA MAPENZI ZITAFUTE HAPA (MPYA) Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiyaangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo ndani yake na kulila TUNDA lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ulie uteka moyo wangu. nakupenda laaziz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto ...

SMS NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO ASUBUHI

Image
Asubuhi ni mwanzo wa siku na kuianza siku vizuri kunaweza kuwa ni pamoja na kupokea sms ya maneno ya upendo toka kwa watu tunaowapenda. Kumpa maneno mazuri ya upendo mpenzi wako wa moyoni anaekupenda kunaweza kufanya aifurahie siku nzima na pengine kufanya aendele kukuamini kwamba unamjali, upo yupo kichwani mwako na unamuwaza huko uliko. Hivyo kama unataka kufanya jambo hili, tambua kuwa hizo ni kati ya faida zake katika mahusiano. Na kama unahitaji sms za maneno mazuri za asubuhi zitakazo mgusa roho mpenzi wako, unaweza ukoa muda kwa kuangalia sms fupi ziliopo hapa chini zitakazo endana na hali ya penzi lenu. SMS za asubuhi njema kwa umpendae Asubuhi njema… Natamani siku ya leo tungeamka kitanda kimoja na wewe. Tena sikufichi, huku niliko nakosa vitu vingi sana kwasababu niko mbali na wewe mpenzi wangu… Ila nikikumbuka kuwa unanipenda na pia nakupenda, moyo wangu unatulia kidogo na kusubilia siku tutakayoonana ingawa naona kama nachelewa kukutana na wewe malaika wangu, nakupenda sana...