UNAKIJUA CHA ASUBUHI WEWEEE! HEBU NJOO HAPA NIKUFUNDE
Mwanaume aliyekamilika lazima aamshwe asubuhi. Tena siyo kwa kurukaruka, la hasha! Mwamshe kwa utulivu,unapomwamsha mumeo asubuhi kwakumpa k.....a asubuhi na mapema kabla hamjatoka kitandani..... unajuwa kinachomtokea? moja utamwondolea uchovu👌🏽utamchangamsha👌🏽nakumfanya mwepesiiiiii na hapo atakuwa tayari kwa ujenzi wa taifaa hata chapa kazi hatari 😍Nadhani mpaka sasa ushajuwa mumeo unamwamshaje si ndio eee haya tuendelee Na hii inawahusu hasa wale wanawake wanao amka nakujifanya wapo bize kazi ndo kila kitu hivi ngoja niwambie mumeo akitoka akaenda kuamshwa na wenzio huko nnje hiyo kazi unayokimbilia mbiombio nakuiwaza muda wote itafanyika ❓mwingine akiwa na mabiashara ndo kabisaaa ukiuliza oooh mzigo umepanda mzigo umeshuka ooooh madeni ooooh nyoho nyoho fulu kujipa ubizee akidakwa huyo na wadakaji waliotoka kufundwa kwenye JUMBA LA MAHABA wakafundikaaaaaa👌🏽👌🏽 shogaa atageuka huyo atakukumbuka huyoo ....hata hizo biashara unazozizungumzia nakujipa ubize nazo uta...