Posts

Showing posts from June, 2023

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO

Image
  hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najiona kama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzi lako. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kaja kunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwa sasa siwezi kukupatia kwa maana mgeni kashakuharibia nakupenda dear •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Ni yangu mazoea kila cku cm yako kuipokea kama si meseji kunitumia leo naumia kila napo fikiria nini kimetokea hadi mawasiliano yetu yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali ya kawida itarejea na majonzi moyoni yatanipotea nakupenda mpz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Gusa hapa jiunge>> SMS TAMU ZA MAPENZI ZITAFUTE HAPA (MPYA) Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiyaangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo ndani yake na kulila TUNDA lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ulie uteka moyo wangu. nakupenda laaziz •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto ...

SMS NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO ASUBUHI

Image
Asubuhi ni mwanzo wa siku na kuianza siku vizuri kunaweza kuwa ni pamoja na kupokea sms ya maneno ya upendo toka kwa watu tunaowapenda. Kumpa maneno mazuri ya upendo mpenzi wako wa moyoni anaekupenda kunaweza kufanya aifurahie siku nzima na pengine kufanya aendele kukuamini kwamba unamjali, upo yupo kichwani mwako na unamuwaza huko uliko. Hivyo kama unataka kufanya jambo hili, tambua kuwa hizo ni kati ya faida zake katika mahusiano. Na kama unahitaji sms za maneno mazuri za asubuhi zitakazo mgusa roho mpenzi wako, unaweza ukoa muda kwa kuangalia sms fupi ziliopo hapa chini zitakazo endana na hali ya penzi lenu. SMS za asubuhi njema kwa umpendae Asubuhi njema… Natamani siku ya leo tungeamka kitanda kimoja na wewe. Tena sikufichi, huku niliko nakosa vitu vingi sana kwasababu niko mbali na wewe mpenzi wangu… Ila nikikumbuka kuwa unanipenda na pia nakupenda, moyo wangu unatulia kidogo na kusubilia siku tutakayoonana ingawa naona kama nachelewa kukutana na wewe malaika wangu, nakupenda sana...

SMS ZA KUMTAKIA MPENZI WAKO USIKU MWEMA

Image
  Kutuma sms au ujumbe wenye maneno mazuri kwa mpenzi wako, ni kitu muhimu sana katika mapenzi. Unapotuma ujumbe/message moja kwa moja unakua umeonesha kumjali na pia kumkumbusha kuwa yeye ni wamuhimu kwako. Leo nakupa sms ambazo unaweza zituma kwa mpenzi wako kwaajili ya kumtakia usiku mwema na akajisikia vizuri. Chagua ujumbe unaoendana na hali ya mahusiano yako Kwa sasa hapa chini na umtumie. Lakini kumbuka kuwa sio pazima umtumie ujume kama ulivyo andikwa hapa. Unaweza ubadilisha badilisha. SMS za mapenzi za kumtakia usiku mwema mpenzi wako # 1: Natamani usiku wa kwanza ambao tutakua pamoja. Natumai unafikiria juu yetu kama mimi. Daima kumbuka kuwa nakupenda mpaka mwisho wa wakati. Ulale vizuri mpenzi. # 2: Mpenzi wangu mtamu, nadhani siku yako imekuwa nzuri kama wewe. Lala na upumzike vizuri, ili uweze kuamka mchanga na mwenye nguvu kwa siku ya kesho. Usiku mwema. # 3: Maneno hayawezi kuelezea jinsi ninavyokupenda na kukuthamini. Tumekuwa na moja ya siku bora za maisha yetu na...

SMS za asubuhi njema kwa umpendae

Image
  Asubuhi ni mwanzo wa siku na kuianza siku vizuri kunaweza kuwa ni pamoja na kupokea sms ya maneno ya upendo toka kwa watu tunaowapenda. Kumpa maneno mazuri ya upendo mpenzi wako wa moyoni anaekupenda kunaweza kufanya aifurahie siku nzima na pengine kufanya aendele kukuamini kwamba unamjali, upo yupo kichwani mwako na unamuwaza huko uliko. Hivyo kama unataka kufanya jambo hili, tambua kuwa hizo ni kati ya faida zake katika mahusiano. Na kama unahitaji sms za maneno mazuri za asubuhi zitakazo mgusa roho mpenzi wako, unaweza ukoa muda kwa kuangalia sms fupi ziliopo hapa chini zitakazo endana na hali ya penzi lenu. Asubuhi njema… Natamani siku ya leo tungeamka kitanda kimoja na wewe. Tena sikufichi, huku niliko nakosa vitu vingi sana kwasababu niko mbali na wewe mpenzi wangu… Ila nikikumbuka kuwa unanipenda na pia nakupenda, moyo wangu unatulia kidogo na kusubilia siku tutakayoonana ingawa naona kama nachelewa kukutana na wewe malaika wangu, nakupenda sana. Upendo ni zawadi ya pekee ...

SMS NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO ASUBUHI

Image
Asubuhi ni mwanzo wa siku na kuianza siku vizuri kunaweza kuwa ni pamoja na kupokea sms ya maneno ya upendo toka kwa watu tunaowapenda. Kumpa maneno mazuri ya upendo mpenzi wako wa moyoni anaekupenda kunaweza kufanya aifurahie siku nzima na pengine kufanya aendele kukuamini kwamba unamjali, upo yupo kichwani mwako na unamuwaza huko uliko. Hivyo kama unataka kufanya jambo hili, tambua kuwa hizo ni kati ya faida zake katika mahusiano. Na kama unahitaji sms za maneno mazuri za asubuhi zitakazo mgusa roho mpenzi wako, unaweza ukoa muda kwa kuangalia sms fupi ziliopo hapa chini zitakazo endana na hali ya penzi lenu. SMS za asubuhi njema kwa umpendae Asubuhi njema… Natamani siku ya leo tungeamka kitanda kimoja na wewe. Tena sikufichi, huku niliko nakosa vitu vingi sana kwasababu niko mbali na wewe mpenzi wangu… Ila nikikumbuka kuwa unanipenda na pia nakupenda, moyo wangu unatulia kidogo na kusubilia siku tutakayoonana ingawa naona kama nachelewa kukutana na wewe malaika wangu, nakupenda sana...

SMS NZURI ZA MAPENZI SOMA MTUMIE NA UMPENDAE

Image
Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika! ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Nakupenda dear, amini moyoni umeniingia ndiyo maana mimba nikaamua kukubebea pasipo kunioa hakika mahaba yako yanifanya nijione malkia katika hii dunia! Nakupenda ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na k...

NAKUPENDA LAAZIZ WANGU.

Image
I feel something in my heart,,,it's like little flame,,,every time I see you,,,this flame lights up,,,this flame is special for you,,,because I LOVE YOU.......!!!                         &-----<>-----<>-----<>-----<>-----<>-----& Mapenzi ni safari~unifanye ni nauli yako...!!! Mapenzi ni maradhi~unifanye daktari nikutibu maradhi yako...!!! Mapenzi ni kiu~ niwe maji jagwani nikupoze koo lako....!!! Mapenzi ni kama chakula~unile maishani mwako.....!!! Mapenzi ni kama asali~niwe radha mdomoni kwako.....!!! Hakika mimi ni wako,,,ondoa shaka moyoni mwako.....!!!! NAKUPENDA LAAZIZ WANGU...............                  &~~*~~*~~*~~*~~*~~*~~*~~*~~& I"m feeling so happy. Do u know why? Coz i*m so lucky, Do u know how? Coz God loves me, Do u know how? Coz have gave me a gift, Do u know what? It*s you my love...I LOVE YOU mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...

GOOD NIGHT QUOTES.

Image
  “I am proud to know that I have you for life because you are my support system. As you sleep, think of us, and all the good times we will have. Goodnight, sweetheart.” Love Quotes “Thinking of you makes me jealous of your pillows and sheets because they get to touch and feel your warmth. I wish I could run my hands through your hair and smell your baby face. Have a divine night.” “You are the first thing that comes to mind when I wake up and the last thing when I sleep. Thank you for always making me happy. I hope to hear your angelic voice tomorrow. Goodnight, my love.” “Spending the rest of my life with you is the only thing that keeps me going. I can’t wait to spend nights and make new memories with you. Have a peaceful night, my one and Only.” “My sweet lady, I presume your day has been as lovely as you are. Sleep and rest well, so you can wake up younger and energetic for the big day tomorrow. Goodnight.” “Good Night, my love. I hope you sleep well and have the best dre...

SMS MPYA KALI ZA MAPENZI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO

Image
  Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,  ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu, moyoni mwangu nimeridhia... Nakupenda daima mpenzi! **** Ahsante Mungu shukrani kwako mama, pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi, ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani. Penzi lako halichakai daima huzaliwa jipya. ****** Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, nikimaliza nitakula nini kesho? Nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. ***** Imara hautikisiki, kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki. ***** Mapenzi si usanii ukiigiza utashindwa, mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana, mpenzi wangu usiniache. ****** Mimi si mtume hakuna mwadamu aliyestahili usiniache nitajirekebisha na nitaongeza bidii.Naahidi kuwa mpenzi mpya na bora kwako na si bora mpenzi. ******* Mpenzi usiende mbali nami, njoo ufaidi utamu usioisha hamu, nitakupa mwi...

GOOD MORNING QUOTES.

Image
  “Babe the long night is gone, and the morning has come. It is time to give me some hugs and kisses.” “I wrote this text just to let you know I still love and respect you.” “Wake up and smile because we have the most spectacular relationship. I love you.” “Rise and shine! I dream of you almost every night and I can’t wait to make you my bride.” “You are majestic, daring and superhuman. Walk with boldness, and remember you’re never fully dressed without a smile. Good morning, my power woman.” “Good morning, sweetheart. Did you sleep well? I miss you. Being away from you is so hard. I can’t wait to get back.” Love Quotes “Good morning. I am sorry about the fight we had. I know I can be a jerk sometimes. I love you. Will you forgive me?” “Hello. I just wanted to let you know that I was thinking about you. How did you sleep last night? I love you so much.” “Good morning sunshine. I just wanted to make sure that you were awake. I know you have an important project today. You can d...