🥰KWAKO SWEETHEART😍
🌱Hali yako umeshindaje mpenzi 🌱
🌹Bila ya kufahamu hali yako nahisi ganzi ya mapenzi🌹
🌱Nakupenda sana mwenzako kwako sweet sijiwezi🌱
🌹Dhumuni la ujumbe huu babe tambua nakupenda sana🌹
🌱Natamani masaa 24 mimi nawe tupate onana🌱
🌹Sitamani kuwa na mwengine kwa mapenzi yako ya dhati kwako nitatulizana🌹
🌱Kila siku mapenzi yangu kwako yanazidi maradufu🌱
🌹Tena sana nimezama kwako penzi langu si hafifu🌹
🌱Kama kukupenda najua mwenzako tena najiamini si kama najisifu🌱
🌹Ukizidisha raha na mahaba kuondoka kwako nitakuwa muhalifu🌹
🌱Kama mapenzi yapo india nakuahidi kwako tutayafikia🌱
🌹Na kama nikichoka kukubeba kwa mikono nitakushikilia🌹
🌱Baridi likikukumba joto la asili nitakupatia🌱
🌹Penzi tamu liso haba nimelisomea kwa ajili yako kukupenda kwa dhati nakuhakikishia🌹
🌱Ni mimi tamu ya moyo wako🌱
🌹Kukuacha siwezi nimefika kwako🌹
🌱🌹Nakupenda laaziz niamini mimi ni wako🌹🌱

Comments
Post a Comment