Maneno matamu kwa mpenzi wako





🥰SWEETIE😍
Kuwa na wewe ni bahati kubwa sikuwahi kufikiria💋☘️ Sikudhani kwenye mapenzi kufurahi nami nitakuja tamaa nilishajikatia☘️💘 Ila kukutana nawe nuru ya mapenzi imeumurika moyo wangu mda wote nakufikiria☘️🥰 Kila siku zinazidi hisia zangu kwako nazidi kukupenda kila siku iitwayo leo my dear❤️❣️ Umeshika uskani katika historia ya mapenzi ya dhati kwangu hili nakusifia
🤗😍 Nakuomba uendelee kunipenda kwa dhati my wangu usije kuniacha kupenda nikajutia❤️ Nakupenda sana tunu ya Moyo wangu ❣️❤️

Comments