@""""""japo mapenzi ni dhamira, ila mm sijadhamiria kukudhamini ila kukumiliki. @""""""Huwa nifuraha kwangu ninapokuona u karibu nami. @"""""""Beb, napenda unavyovaa, napenda unavyocheka, unavyonitizama na unavyotembea pia. @""""""Mwendo wako wa malingo, jicho lako la huba na una mapenzi ya dhati kwangu.
@""""""""Nimekuweka moyoni mwangu milele, na akilini mwangu utaishi daima.
Comments
Post a Comment