MESEJI YA GOOD MORNING KWA MPENZI WAKO





🌹
*🌹🌹 umeamkaje laaazizi wang 🌹🌹Natumai umeamka salama kipenzi changu 🌹🌹*
*🌹usiku wako ulikuaje baby wangu? 🌹🌹 niambie Honey 🌹🌹uliota njozi njema au?*
*🌹 nilikumis mnoo furaha yangu🌹🌹nikiona kuchelewa kukuche mpenzi wangu 🌹🌹unsingiz wenye nilipata wa manamu namamu🌹🌹*
*🌹nikikijufukilia sana usiku 🌹🌹 naomba kwa mola ubaki kuwa wangu 🌹🌹atetee penzi langu🌹🌹 Kiukwel sitaweza kukusahahu🌹ushakaa moyoni mwangu 🌹🌹*
*🌹🌹 umeamkaje tulizo la Moyo wangu 🌹🌹amka nimekumis my love ❤️🌹🌹*
*🥰mzungu anasema good morning 🥰🥰🥰natambua wajua maana yake Nini 🥰🥰🥰*
*🌹🌹amk honey nina kitu nataka kukuambia je upo tayari nikae Moyon mwako?*🌹

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO