MESEJI YA KULALAMIKA ENDAPO MPENZI WAKO AMEBADILIKA TABIA

 

๐Ÿ˜ฐUMEBADILIKA๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐHakika umebadilika Kila kosa Mimi ndio nawajibika
๐Ÿ˜ฐNikikukosea kidogo tu siku mbili mzima unakasilika
๐Ÿ˜ฐNa nikikubembeleza utaki bembelezeka๐Ÿ˜ฐunaniambia niendelee na hao hao malaay wanainiteka๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐmbona awali kipenzi nafsi Yako ilitakasika?๐Ÿ˜ฐAu moyo wako kupokea upendo wangu ndio umechoka?๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐ Ilikua aipiti hata dakika bila sauti yangu kwako kusikika๐Ÿ˜ฐ uliniambia usiposikia unais moyo wako unavunjika๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐHila Leo hata nikawa kimya kwako amn shida๐Ÿ˜ฐHautak hata kujua kimya changu Nini kinasababisha๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐ nikiomba hata msamaha ndio kwanza unakasilika๐Ÿ˜ฐ nikiomba tuonane mwenzangu unadai umechoka๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐPungufu langu lipo wap mbona Kila ukichoomba Mimi nilikupa?๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐNisiwe bize kidg maneno makali unayatupa๐Ÿ˜ฐinaniuma some time unaposema kunipenda mm unajuta๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐmbn awali ulikua mpole hata rafik zangu sifa walikupa?๐Ÿ˜ฐhata ukiis siko na aman maneno matamu ulinipa๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐukiis nimekosea ulikua unanikemea na kunilekebisha๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐHila Leo mayoe tupu jaman mwenzenu yamenifika๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐ uaminifu umekufa kabisa๐Ÿ˜ฐsimu yangu mda wote waishika kutafta kama sms mbya utazikuta๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐmbn Mimi kwako mtiifu na kwako ndio nimeweka nukta๐Ÿ˜ฐkununa kwako ni nyimbo ya taifa๐Ÿ˜ฐ
๐Ÿ˜ฐ UMEBADILIKA
Ni Mimi:๐Ÿงก๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
::๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘king Raizer ๐Ÿ‘‘
KING OF LOVES❤️❤️❤️
No photo description available.
All reactions:
50

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO