#NAKUPENDA KWELI...

 


❣️ Unajua ni jinsi gani navyo kupenda mpnz wangu ❣️
❣️ Lakn wivu umenitawala sana ❣️
❣️ Umejua kuiteka nafsi yangu na kunifanya niwe mdhaifu mbele yako ❣️
❣️ Nimebadilika mpaka najishangaa ila kwasababu nakupenda ❣️
❣️ Nimekuwa mpole mbele yako kwakila jambo nikwasabab nakuheshimu ❣️
❣️Nimekuwa mtulivu kwako kwakuwa nimekuahidi ❣️
❣️ Usione nipo hivi nikwasababu tu hisia zangu nimezihifadhi kwako mpnz wangu ❣️
❣️Nakupenda sana pia naenjoy sana kuwa nawe ujuaye thaman yangu ❣️
❤️......❤️...🌷 hakika wewe ni mzuri sana mpnz wangu sijaona aliyekuzidi ❤️......❤️...🌷
❤️......❤️...🌷 Natamani niendelee kukupenda sana Mpaka ufurahi ❤️......❤️...🌷
❤️......❤️...🌷 Nahitaj kukujali sana mpaka Ujidai kuwa namimi ❤️......❤️...🌷
❤️......❤️...🌷 Sifa yangu ni moja huwa siachi kilicho chema kwangu daima huwa nakikumbatia na kukiweka moyoni ❤️......❤️...🌷
❤️......❤️...🌷 Kama umekubali kuwa namimi na kuniweka moyoni basi ntazidi kukupenda ❤️......❤️...🌷
❤️......❤️...🌷 jidai kuwa namm mpnz wangu kwakuwa tunapendana kweli bhas hii ibaki kuwa sheria yetu kila siku ❤️......❤️...🌷
❤️......❤️...🌷 Unapendeza ukiwa na furaha ndio maana huwa sitaki baya lolote likukute likasababisha ukakosa amani mpnz wangu ❤️......❤️...🌷
nakupenda sana ....❤️

May be an image of woodpecker and teacup

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO