""NAYA CHUKIA"" %-.'"MAPENZI"".-%


"%fikra zangu, "zina nipa kumbukumbu, "mara ya kwanza"% "pindi tulipo" ianzisha "safari" ya mapenzi yetu"%
"%ulinipa " maneno, matamu, huku, ukinitazama, "%usoni"
"kwa furaha, na tabasamu "
%"leo, umeniacha" bila sababu"%
%"moyo unaniuma, machozi, imenimwagika"% napo jaribu, kuirudilia"% meseji zako%"
"%ulizo unitumiaga zamani"%
"%huku ukiniahidi"% atolichoka"% penzi" langu"%
"%picha zako" bado ninazo"%
""najiuliza, hata ni fute"% namba yako"% kwenye % sim yangu%" ni kazi bure" maana"% ipo kichwani mwangu"%
"%kweherini mpenzi"%
""najuwa %usaliti" katika mapenzi" ""nijambo lakawaida" kwa mtu asie "juwa samani" ya mapenzi"
"%yupo "atakae nipenda, nakujuwa samani yangu japokuwa bado"sija mjuwa"% we sio riziki yangu"
"nenda salama, asante.
"Ili uweze kujipatia 😋 sms kali za mapenzi follow
May be an image of 1 person, scarf and headscarf

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO