POKEA CM YANGU ❤️

 


💙😘 Najivunia kuwa naww ❤😍
💙😘 Nafurahia kuuona uwepo wako ❤😍
💙😘 Naenjoy sana kupendwa na wew ❤😍
💙😘 Hofu yangu nimeiweka kwako wakat wote huwa sina raha napoona haupo kwenye hali nzuri ❤😍
💙😘 Mwanzo nilifurahia uzuri wako nikavutiwa sana na sauti yako mrembo wangu ❤😍
💙😘 Unajua huwa nataman kukupigia CM kila wakati sikwasabb nasumbua hapana ila n kwasabb nakupenda na nimekumiss ❤😍
💙😘 Huwa natabasamu peke yangu napo ongea na cm kwasabb hii ndio raha yangu malkia wangu ❤😍
💙😘 Huwa naenjoy sana nikiisikia sauti yako inayoniliwaza na kunifariji ❤😍
💙😘 Nafurahia kukupigia cm bila woga huku nikikueleza kwa nia yaliyomo moyon mwangu ❤😍
💙😘 Kinachonipa Furaha kabisa nkwamba haujawah nitenga wala kunidharau ❤😍
💙😘 Nisipo wasiliana nawe nahisi upweke juu yako mpnz nahisi kuna kitu nimepungukiwa moyoni mwangu nataman sana niisikie sauti yako ❤😍
💙😘 Napenda kuisikia sauti yako hakika ni tamu pia huwa inaniliwaza moyoni mwangu ❤😍
💙😘 Nakupenda mpnz mwangu ❤😍
💙😘 Sina cha zaiid zaiid ya kukushukuru kwakuwa nami na kunipa mda wako ❤😍
💙😘 Sina chaguo jingne zaidi yako hakuna ambaye ameizidi thaman ya uwepo wako kwangu ❤😍
😍 I Need YOU😘
.....
May be an image of 1 person and phone


Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO