♥️SITORUDIA KOSA
Nakupenda mpenzi ni wewe ulofuraha ya Moyo wangu


Nisamehe laazizi popote nilipokukosea haikuwa dhamira yangu


I'm sorry my please nateseka babe wangu 


Sitofanya makosa mengine kwa makini penzi letu nitalea


Na nitatengeneza mazingira mazuri wangu wa dhati upate kunidekea


Mapenzi si I love you ila ni kwa vitendo kupendana mimi nawe


Tena si I need you ila ni kuhitajiana mimi nikuhitaji unihitaji na wewe


Sio I miss you kwa vitendo kwelikweli nifanye nijue


Nisamehe mpenzi wangu dunia ilinihadaa


Macho yalijaa ukungu
Nikatenda yasiyofaa

yakuumizayo nikatenda bila kudhamiria najutia My wangu 


Kukukosa wewe ni majonzi sijafikiria tena msiba mkubwa kwangu


Babe sio siri mwenzio naumia tafadhali rudi kwangu


Nakupenda sana nilishaweka nia kugeuka ni dhambi kwa moyo Wangu



Comments
Post a Comment