SMS TAMU YA MAPENZI KWA MPENZI WAKO

 



NIMEKUPENDA

💘❤️❣️
Habari yako mrembo kivutio cha macho yangu❤️
Mzuri wa umbo,sura na tabia umeuvutia moyo wangu❤️
Natamani niwe wako dear nami nikuite sweet wangu 🌹🌹
Sio siri nimekupenda sana kwa pendo la dhati kwako nakutamkia❤️
Nikuambiayo ni maneno ya kweli yanayotoka moyoni kwa mdomo nakufikishia❤️
Tafadhali niamini ulinzi na usalama wa moyo wako nakukuhakishia🌹🌹
Tafadhali uamini moyo wangu umedhoofika kwa penzi lako❤️
Nakuomba uwe tabibu wa moyo wangu unifanye my wako❤️
Naahidi nitakupenda kwa dhati kadri ya uwezo wangu sitokufanyia vituko🌹🌹
Mimi ni mzalendo katika mapenzi❤️
Naheshimu Moyo wa nimpendae na yake maamuzi❤️
Nimewasilisha ombi langu kwako Nakupenda sana laaziz❤️
Pendo la dhati nakuhakikishia nakuomba nikubalie plz 🌹🌹

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO