MESEJI YA KUMJULIA HALI ASUBUHI GIRLFRIEND WAKO AU MKEO


πŸ₯° #GOOD....MORNING....... πŸ₯°

πŸ₯°πŸ’– habari ya asubuh bibie wangu 

πŸ₯°πŸ’– Umeamkaje mpnz wangu 

πŸ₯°πŸ’– Hofu yangu nikujua uhali gan ww 

πŸ₯°πŸ’– Namshukuru mungu kwakuwa ametupa nafasi hii tena sisi wapendanao 

πŸ₯°πŸ’– Ni asubuh nyngne ambayo tunaiona nuru iliyong'aa angani na machoni mwetu 

πŸ₯°πŸ’– Nashukuru sana kwakuwa umeutunza vyema Umoja wetu 

πŸ₯°πŸ’– Hvyo nihaki yangu kuendelea kukupa kipaumbele ww 

πŸ₯°πŸ’– Kukupenda na kukujulia hali bila kujal nyakati gan tunazopitia 

πŸ₯°πŸ’– Nakuhitaj sana katika ukurasa wa maisha yangu 

πŸ₯°πŸ’– Nakupenda mno kwakuwa n ww pekee unayeweza kunipa furaha na kutulia na mm 

πŸ₯°πŸ’– Nakupenda san naomba nkutakie asubuh njema mpnz wangu 

πŸ₯°πŸ’– Uamke saw queen wangu 

πŸ₯°πŸ’–πŸ’–πŸ’–

Inbox me ....

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO