NAKUOMBA USINIACHE MPENZI.


💋*****Ningependa kukwambia tu kuwa, uwepo wako kwangu ni muhimu. ******
💋 *******Unaupa moyo wangu furaha. 💋********Unaifanya siku yangu kuwa ya kheri.💋 ******Najivunia kuwa nawe maishani.💋
💋*****Tangu nikupate nimekuwa tajiri wa furaha maskini wa upweke. 💋Hii yote sababu ni ujio wako moyoni mwangu. 💋
NAKUPENDA DARL💋
NAKUOMBA USINIACHE DEAR!💋
May be an image of 2 people and wedding

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA❤️ KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO❤️

Maneno mazuri ya Usiku mwema

SMS ZA MAPENZI ZENYE UJUMBE MTAMU KWA MPENZI WAKO