SMS MOTOMOTO ZA MAPENZI, MTUMIE LAAZIZ WAKO MUDA HUU
1. MPENZI WANGU
Tabasamu lako linanifanya najisikia furaha sana na amani pindi niwapo na wewe, kucheka kwako na mapozi yako, uthamani wako kwangu ndio nguzo imara vinavyofanya nizidi kukupenda mpenzi wangu.
Ama hakika nimepata hitaji la moyo wangu.
NAKUPENDA PASI NA AIBU UKINIACHA MPENZI UTANIADHIBU
😍😍

2. BARAFU WA MOYO WANGU
Ardhi ya Moyo ni Pahala ambapo hujikwaa na kudondokea kila mwenye Upendo wakweli, nami kwaajili ya Upendo nimejikwaa na kudondokea kwenye wako Moyo.
Hivyo basi, tafadhali naomba unipe makaazi ya kudumu kwenye moyo wako 🙏🙏

3. MY DEAR
Nimekupa penzi langu sio ulichezee bali ulilee, nimekupa moyo wangu sio uniumize bali unifuraishe, nimekuonesha thaman yangu sio uitupe bali uitunze, nimekupa upendo wangu sio uniache bali Unipende.
Kwani daima hutojutia kuwa na mimi wala
hutolia mi niwako maishani,
Nimekupenda nimekuweka moyoni, nitakutunza kama kitu pekee maishani.
I LOVE YOU SO MUCH MY HONEY
🥰🥰🥰

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Comments
Post a Comment